Man United macho kwa Tchouameni

MANCHESTER, EnglandKLABU ya Manchester United imeingia mazima katika mbio za kumsajili kiungo wa Real Madrid, Aurelien Tchouameni.Kwa taarifa zilizopo, Man United imeshatenga dau nono la Pauni milioni 78 (zaidi ya Sh bil. 270 za Tanzania) kwa ajili ya Mfaransa huyo.Kwa mujibu wa mwandishi maarufu wa habari za michezo, Eduardo Inda, tayari Man United wameshapeleka ofa … Continue reading Man United macho kwa Tchouameni