Mbappe fiti kuivaa Juve

MADRID, HispaniaUWEZEKANO ni mkubwa kwa mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe, kuikabili Juventus katika mchezo wa keshokutwa.Madrid itavaana na vigogo hao wa Serie A, ukiwa ni mtanange wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu.Ikumbukwe, Mbappe hajacheza hata mechi moja ya michuano hiyo kutokana na maumivu ya tumbo aliyoyapata kabla … Continue reading Mbappe fiti kuivaa Juve