Watumishi waaswa kuzingatia miiko, maadili ya utumishi wa Umma

Na Mwandishi Wetu Watumishi wa Umma wameaswa kuendelea kuzingatia miiko na maadili ya utumishi wa umma, sera za nchi, sheria, kanuni na miongozo iliyopo ambayo inahitaji ukarimu, kuwapokea, kuwasikiliza na kuwahudumia wananchi ipasavyo. Maelekezo hayo yametolewa leo Juni 23,2025  na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa akihitimisha kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na … Continue reading Watumishi waaswa kuzingatia miiko, maadili ya utumishi wa Umma