RC Mtambi aipongeza Halmashauri ya Serengeti kwa Hati inayoridhisha ya CAG
Na Malima Lubasha, Gazetini – Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa kupata hati inayoridhisha katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024, akisema hatua hiyo ni ushahidi wa juhudi kubwa za usimamizi wa fedha na rasilimali. … Continue reading RC Mtambi aipongeza Halmashauri ya Serengeti kwa Hati inayoridhisha ya CAG
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed