Mchengerwa awataka wakuu wa mikoa kuwaongoza wananchi kufanya ‘jogging’
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuwaongoza wananchi katika maeneo yao kufanya “jogging” na mazoezi ili kuimarisha afya. Mchengerwa ametoa maelekezo hayo leo Juni 14, 2025 mara baada ya kuongoza na kuhitimisha mbio za pole pole (jogging) za kilomita 10 zilizoratibiwa … Continue reading Mchengerwa awataka wakuu wa mikoa kuwaongoza wananchi kufanya ‘jogging’
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed