Waziri wa afya aitaka Bodi ya Wadhamini  MOI kuimarisha huduma za kibingwa na kibobezi

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Afya Jenista Mhagama,  amezindua Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) na kuitaka bodi hiyo kuimarisha huduma za kibingwa na kibobezi za taasisi hiyo na kuhakikisha huduma zinawafikia wananchi wengi zaidi. Akizungumza leo  Juni 09, 2025 jijini Dodoma baada ya uzinduzi huo, Waziri Mhagama, … Continue reading Waziri wa afya aitaka Bodi ya Wadhamini  MOI kuimarisha huduma za kibingwa na kibobezi