Serikali itaendelea kuisimamia sekta ya afya-Majaliwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu itaendelea kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya afya ikiwemo kutoa vibali vya ajira pamoja na kujenga miundombinu ya kutolea huduma hizo katika ngazi zote. Amesema mpango wa Serikali kwa sasa ni kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa … Continue reading Serikali itaendelea kuisimamia sekta ya afya-Majaliwa