Waziri Mchengerwa atoa rai kwa walimu

Na John Mapepele  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi.   Mchengerwa ametoa rai hiyo kwenye mkutano wa walimu na wadau wa elimu wa Wilaya ya Rufiji uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Bibi Titi … Continue reading Waziri Mchengerwa atoa rai kwa walimu