Dar yatajwa kinara watoto wa mtaani

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeitaja Dar es Salaam kuwa Mkoa unaongoza kwa  kuwa na watoto wengi wanaoishi na kufanya kazi mtaani ni Dar es Salaam,ikifuatiwa na Dodoma. Kauli hiyo imetolewa  leo Mei 27,2025 bungeni na Waziri wa Wizara hiyo,Dk Dorothy Gwajima wakati akiwasilisha makadirio ya mapato … Continue reading Dar yatajwa kinara watoto wa mtaani