Wazazi saidieni malezi ya watoto ili kuboresha taaluma
Na Malima Lubasha, Gazetini– Serengeti Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mapinduzi iliyoko wilayani Serengeti, mkoa wa Mara, Jumanne Nyamhanga, amewataka wazazi na walezi kushirikiana kwa karibu na walimu katika kuwalea watoto wao, hasa nje ya mazingira ya shule, ili kuinua kiwango cha ufaulu ambacho kwa sasa kimeonekana kushuka. Akizungumza jana katika mkutano wa wazazi … Continue reading Wazazi saidieni malezi ya watoto ili kuboresha taaluma
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed