Serengeti ni Tunu ya Taifa na Urithi wa Dunia itunzeni

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi kushirikiana kwa karibu na wahifadhi katika kulinda, kutunza na kuhifadhi maeneo yaliyotangazwa kama urithi wa dunia, yakiwemo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kwa kuwa yana mchango mkubwa katika kutangaza taifa kimataifa, kuongeza watalii na kukuza pato la Taifa. Akizungumza mjini Mugumu, … Continue reading Serengeti ni Tunu ya Taifa na Urithi wa Dunia itunzeni