Viongozi Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Nishati Safi ya Kupikia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika kongamano la kwanza nishati safi ya kupikia la Afrika Mashariki linalolenga kujadili masuala mbalimbali yatakayowezesha Jumuiya hiyo kuondokana na matumizi ya nishati isiyo safi. Akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko katika ufunguzi wa kongamano hilo, … Continue reading Viongozi Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Nishati Safi ya Kupikia