Chart| Tanzania bado ni kinara wa Simba Duniani
Na Jackline Jerome, Gazetini Tanzania inaongoza barani Afrika na duniani kwa ujumla kwa kuwa na idadi kubwa ya simba, ikiwa na jumla ya takribani simba 17,000, wengi wao wakiwa katika ikolojia za Serengeti na Selous, kwa mujibu wa taarifa za IUCN (2023) na Ripoti ya Mfuko wa Hifadhi ya Wanyamapori na mazingira duniani (WWF). Afrika … Continue reading Chart| Tanzania bado ni kinara wa Simba Duniani
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed