JWTZ yatangaza nafasi kuandikishwa jeshini, yaonya matapeli
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia Sekondari hadi elimu ya juu. Tangazo hilo limetolewa leo April 30,2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano (JWTZ), Kanali Gaudentius Ilonda wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma. Kanali Ilonda … Continue reading JWTZ yatangaza nafasi kuandikishwa jeshini, yaonya matapeli
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed