Serikali yajipanga kujenga mradi mkubwa wa umeme Monduli

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema  amesema kuwa mwaka huu Serikali inatarajia kujenga mradi mkubwa wa umeme  wilayani Monduli, mkoani Arusha kwa lengo la kuuongezea nguvu umeme unaopatikana ili uweze kufika Loliondo na kusaidia wilaya hiyo kuwa na umeme wa uhakika. Dk. Biteko amesema hayo  Aprili … Continue reading Serikali yajipanga kujenga mradi mkubwa wa umeme Monduli