Kanisa la Shincheonji lakanusha Ripoti ya Le Parisien, ladai ni upotoshaji

Kanisa la Shincheonji la Yesu nchini Ufaransa limekanusha vikali taarifa iliyochapishwa na gazeti la Le Parisien Aprili 7, 2025, likiitaja kama yenye upendeleo, upotoshaji mkubwa wa ukweli na iliyodhalilisha jumuiya ya imani ya waumini wake. Kupitia tamko rasmi lililotolewa Aprili 9, Kanisa hilo limesema kuwa ripoti hiyo iliegemea upande mmoja kwa kuhusisha kauli za wanachama … Continue reading Kanisa la Shincheonji lakanusha Ripoti ya Le Parisien, ladai ni upotoshaji