Kiwanda cha Sukari TPC kinavyochochea maendeleo ya elimu Kilimanjaro

Na Safina Sarwatt, Gazetini-Kilimanjaro Wanafunzi 68 wa kike wa shule ya sekondari ya TPC, mkoani Kilimanjaro, wamepokea ahueni kubwa baada ya kiwanda cha sukari cha TPC kufanikisha ujenzi wa bweni jipya. Hatua hii imetatua changamoto ya kutembea umbali wa kilometa 20 kwenda na kurudi shuleni kila siku, hali ambayo ilikuwa ikihatarisha usalama na kupunguza muda … Continue reading Kiwanda cha Sukari TPC kinavyochochea maendeleo ya elimu Kilimanjaro