Visual| Miaka mitatu ya Rais Samia katika sekta ya madini

Na Mwandishi Maalum-Gazetini Tume ya Madini imetoa tathmini ya mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Madini tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Mafanikio hayo yanajumuisha ongezeko la makusanyo ya maduhuli, usimamizi bora wa migodi, na ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta hiyo. Ongezeko la mapato Kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi … Continue reading Visual| Miaka mitatu ya Rais Samia katika sekta ya madini