DCEA: Wanawake wateja wakubwa wa Skanka, wanatumia kupunguza mawazo
Na Mwandishi Wetu, Gazetini Uchunguzi uliofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) umebaini kuwa wanawake ndiyo wateja wakubwa wa dawa za kulevya aina ya skanka ikidaiwa kuwa wanazitumia kupunguza msongo wa mawazo na kujistarehesha. Hilo limebainika wakati wa operesheni iliyofanyika katika kipindi cha Oktoba na Novemba iliyowezesha kukamatwa kilo 687.32 … Continue reading DCEA: Wanawake wateja wakubwa wa Skanka, wanatumia kupunguza mawazo
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed