Wafanyabishara wa betri chakavu zingatieni kanuni za usalama wa mazingira-NEMC

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewataka wafanyabiashara wa betri chakavu kuzingatia kanuni na maelekezo waliyopewa katika vibali vyao ili kuhakikisha biashara hiyo haileti madhara kwa mazingira na afya ya binadamu. Ushauri huo umetolewa leo, Oktoba 22, 2024, jijini Dar es Salaam na Meneja wa Uzingatiaji wa … Continue reading Wafanyabishara wa betri chakavu zingatieni kanuni za usalama wa mazingira-NEMC