Shule ya Sekondari Mt. Joachim inavyoandaa vijana kwa maendeleo ya Taifa

Safina Sarwatt, Gazetini-Same Mwaka 2013, Kanisa Katoliki Jimbo la Same lilianzisha shule ya sekondari ya wavulana, Mchepuo wa Sayansi ya Mtakatifu Joachim. Lengo kuu la kuanzishwa kwa shule hii ni kupanua wigo wa wataalamu wa masomo ya sayansi na kuleta mageuzi makubwa katika maendeleo ya Taifa. Shule hii inakusudia kuwapa vijana wa Kitanzania elimu bora … Continue reading Shule ya Sekondari Mt. Joachim inavyoandaa vijana kwa maendeleo ya Taifa