JET yawapiga msasa wahariri kuhusu migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kilifanya mafunzo maalum Septemba 5-6, 2024 kwa wahariri zaidi ya 20 huko Bagamoyo, Pwani, juu ya namna bora ya kuripoti migongano baina ya binadamu na wanyamapori. Mafunzo haya yaliandaliwa kwa lengo la kuongeza uelewa wa wahariri juu ya masuala ya uhifadhi na … Continue reading JET yawapiga msasa wahariri kuhusu migongano ya binadamu na wanyamapori