Hatua ya Serikali kulinda ushoroba wa Kwakuchinja itaimarisha uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika jitihada za kulinda urithi wa maliasili na kuimarisha uhifadhi nchini, serikali imechukua hatua muhimu kwa kusaini mkataba wa kulinda ushoroba wa Kwakuchinja. Ushoroba huu, ambao ni kiunganishi muhimu kati ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, umekuwa eneo nyeti kutokana na umuhimu wake kwa … Continue reading Hatua ya Serikali kulinda ushoroba wa Kwakuchinja itaimarisha uhifadhi