TACAIDS yapongezwa kwa malengo yanayotekelezeka ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Na Nadhifa Omary, TACAIDS Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imepongeza Menejimenti ya Tume hiyo  kwa kujiwekea malengo yanayotekelezeka yenye lengo la kumaliza UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Akizungumza Julai 22,2024 jijini Dar es Salaam katika Kikao cha 57 cha Kamisheni, Mwenyekiti wa Kamisheni hiyo, Dk. Hedwiga Swai, alieleza kuridhishwa na utendaji wa TACAIDS … Continue reading TACAIDS yapongezwa kwa malengo yanayotekelezeka ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030