Mtazamo; Kitendawili cha watoto wa mitaani, nani akitegue?

Na Yohana Paul, Gazetini WALIZALIWA na mama John, wakalelewa na mama Jose, wakatamani maisha ya watoto wa mama Prince, wakaamua kuondoka makwao na sasa wapo mtaani wanaomba pesa kwenye gari la baba Jane kama si chakula kwa mama Ntilie. Wapo Mbagala, Kinondoni, Ubungo, Ilala, Temeke mpaka Kigamboni, wamejaa mitaa ya Makongo Juu, Mbezi Mwisho na … Continue reading Mtazamo; Kitendawili cha watoto wa mitaani, nani akitegue?