Vita ya kukabiliana na ukame Chunya: Ukata wakwamisha matumizi ya nishati mbadala
Na Grace Mwakalinga, Gazetini Wilaya ya Chunya, iliyopo mkoani Mbeya, ni moja ya maeneo ambayo shughuli za uchomaji wa mkaa zinafanyika kwa kasi sana, hali inayotishia kuwa na athari kubwa kwa mazingira. Kulingana na takwimu za Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya, wilaya hiyo imepoteza hekta 800 za misitu kutokana na shughuli za uchomaji … Continue reading Vita ya kukabiliana na ukame Chunya: Ukata wakwamisha matumizi ya nishati mbadala
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed