Wakazi wa kijiji cha Kondo waonywa kuhusu uharibifu wa misitu ya mikoko

Na Upendo Mosha, Gazetini- Bagamoyo Wakazi wa kijiji cha Kondo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wameonywa kuacha tabia ya kuharibu misitu ya mikoko iliyopo pembezoni mwa Bahari ya Hindi ili kudhibiti tatizo la uharibifu wa mazingira na mazalia ya samaki. Rai hiyo ilitolewa jana na Mkurugenzi wa Uratibu na Ufuatiliaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii … Continue reading Wakazi wa kijiji cha Kondo waonywa kuhusu uharibifu wa misitu ya mikoko