“MITI KWA UMRI”: Birthday yako inaweza kuiokoa Tanzania na mabadiliko ya tabianchi

Na Faraja Masinde, Gazetini-Pwani Katika kuhakikisha Taifa linakabiliana na mabadiliko ya Tabianchi Watanzania wametakiwa kupanda miti kwa wingi hasa wanaposherehekea siku zao za kuzaliwa. Hayo yamesemwa na Brigedia Jenerali Mstaafu Martin Amos Kemwaga, ambaye pia ni Mkurugenzi wa MAKMar Hoteli iliyopo katika Kata ya Msata Wilayani ya Bagamoyo mkoani Pwani na mwasisi wa kampeni ya “MITI KWA … Continue reading “MITI KWA UMRI”: Birthday yako inaweza kuiokoa Tanzania na mabadiliko ya tabianchi