Ripoti| Wagonjwa wa afya ya akili wanaongezeka nchini

Na Grace Mwakalinga, Gazetini KATI ya mikoa  28 iliyopo nchini, mikoa mitano ndio yenye vituo vinavyotoa huduma ya utengamo wa afya ya akili ikiwemo Dodoma na Mbeya. Kwa mujibu  wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ya mwaka 2022/2023, ni kwamba wagonjwa wa afya ya akili wanaongezeka kila mwaka na … Continue reading Ripoti| Wagonjwa wa afya ya akili wanaongezeka nchini