Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua-TACAIDS
*….yadhamiria kupunguza zaidi Na Faraja Masinde, Gazetini Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 7 hadi kufikia asilimia 5, lengo likiwa ni kufikia chini ya asilimia 4. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Jerome Kamwela, alieleza hayo Juni 7, 2024, jijini Dodoma … Continue reading Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua-TACAIDS
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed