Serikali yachukua hatua kupunguza migongano ya binadamu na wanyamapori
Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali ya Tanzania imeanzisha mpango wa matumizi bora ya ardhi katika maeneo yanayopakana na hifadhi, ikiwa ni juhudi za kuondoa migongano baina ya binadamu na wanyamapori. Mpango huu unatekelezwa katika ukanda wa Ruvuma na maeneo mengine yanayokabiliwa na tatizo hili. Lengo kuu la mpango huu ni kuondoa kabisa migongano baina ya … Continue reading Serikali yachukua hatua kupunguza migongano ya binadamu na wanyamapori
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed