Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa: Urithi wa Asili wa Tanzania

*Mchango wa Mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili watajwa Na Faraja Masinde-Aliyekuwa Mang’ula Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa, mojawapo ya hifadhi za asili zinazoonekana kuvutia zaidi barani Afrika, ni hazina ya kipekee ya wanyama na mimea. Ipo kusini mwa Tanzania. Hifadhi hii ni sehemu ya safu za Milima ya Tao Mashariki ambazo ni maarufu … Continue reading Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa: Urithi wa Asili wa Tanzania