Chart| Huduma za Mahakama kwa watoto Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, ametangaza mafanikio makubwa katika sekta ya ustawi wa jamii kwa watoto nchini Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2023/2024. Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 bungeni jijini Dodoma, Dk. Gwajima alielezea … Continue reading Chart| Huduma za Mahakama kwa watoto Tanzania