Visual| Ufahamu mradi wa kusambaza gesi asilia-Mini LNG

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tanzania inaendelea kuchukua hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2033. Hatua hiyo pamoja na mambo mengine itasaidia kuokoa mazingira na maisha kwa kiasi kikubwa, kwani takwimu zinaonesha takribani Watanzania 32,000 kila mwaka wanapoteza maisha kutokana na kutumia nishati chafu kupikia. Kulingana … Continue reading Visual| Ufahamu mradi wa kusambaza gesi asilia-Mini LNG