Serikali kuandaa Muongozo mpya kupunguza migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Faraja Masinde, Gazetini Serikali imeanza kuandaa Muongozo mpya wa kuhakikisha kuwa inapunguza changamoto ya migongano kati ya binadamu na wanyamapori huku ikiwawezesha wananchi kunufaika na uhifadhi wa misitu na shoroba Hayo yamebainishwa leo Mei 14, 2024 wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za mazingira Tanzania (JET) wanaotekeleza mradi wa USAID … Continue reading Serikali kuandaa Muongozo mpya kupunguza migongano ya binadamu na wanyamapori