Wizara, Taasisi zaagizwa kuzingatia matumizi ya nishati safi ya kupikia

*Watanzania 80%  kutumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo 2034 *Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kusimamia Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari nyingine zinazotokana na nishati isiyo safi. Agizo hilo … Continue reading Wizara, Taasisi zaagizwa kuzingatia matumizi ya nishati safi ya kupikia