200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Arusha ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na kati yao kubainika kuwa wana tatizo la uzito uliopitiliza. Pia kati ya watu hao hakuna aliyebainika kuwa na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), lakini mmoja amekutwa na dalili zote za kifua kifuu … Continue reading 200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA