Mwandishi Gazetini ang’ara tuzo za Merck Foundation

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwandishi wa Habari, Tulinagwe Malopa, anayefanyakazi na Tovuti ya GAZETINI (www.gazetini.co.tz) jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Gazetini Communications ameng’ara katika Tuzo za Merck More than A Mother (Diates and Hypertension) Media Recognation Award 2023 zinazotolewa na Wakfu wa Merck Foundation-Ujerumani. Katika Tuzo hizo zilizotangazwa na Mkurugenzi Mkuu wa Seneta, Dk. … Continue reading Mwandishi Gazetini ang’ara tuzo za Merck Foundation