Chart| Mwenendo wa wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)zinaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la matukio ya wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu mwaka hadi mwaka huku moja ya sababu ikiwa ni watu kujenga makazi kwenye mapito(shoroba) ya wanyamapori. Kuwapo kwa mwingiliano huo kumekuwa kukisababisha athari kwa binadamu na wanyamapori ikiwemo kuharibiwa kwa … Continue reading Chart| Mwenendo wa wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu