TACAIDS yawataka wadau kushiriki upatikanaji fedha za Mwitikio wa UKIMWI
Na Nadhifa Omary, Gazetini-Dodoma Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imehimiza wadau kutoa ushirikiano kwa maoni na mawazo yao chanya ambayo yataboresho mkakati wa ukusanyaji fedha kwa ajili ya mwitikio wa UKIMWI nchini (HIV Sustainable Financing Framework) unaondaliwa na TACAIDS. Mkakati huo unaandaliwa kwa ajili ya kuboresha njia za kukusanya rasilimali fedha zitakazosaidia utekelezaji wa shughuli … Continue reading TACAIDS yawataka wadau kushiriki upatikanaji fedha za Mwitikio wa UKIMWI
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed