Ubalozi wa Kenya kuchangiza Klabu za Mazingira shuleni Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazetini Katika kuhakikisha kuwa jamii inaandaa akina Wangari Maathai wengine watakaotunza mazingira, Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania umeeleza kuwa upo tayari kuongeza msukumo wa uanzishwaji wa klabu za mazingira shuleni. Hayo yameelezwa Machi 16, 2024 na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Isaac Njenga, wakati wa hafla ya upandaji Miti 300 kwa … Continue reading Ubalozi wa Kenya kuchangiza Klabu za Mazingira shuleni Tanzania