Balozi Njenga: Kila mmoja anadeni la kutunza mazingira

*Asisitiza upandaji miti kwa ajili ya heshima ya Wangari Na Faraja Masinde, Gazetini “Katika mambo ambayo Wangari alihimiza na kuzingatia ni kwamba sisi tuna wajibu kama kizazi kilichopo sasa kupanda mti ili kukisaidia ama kutunza mazingira na hali ya maisha ya vizazi vijavyo” Balozi wa Kenya nchini Tanzania,Balozi Isaac Njenga. Balozi wa Kenya nchini Tanzania, … Continue reading Balozi Njenga: Kila mmoja anadeni la kutunza mazingira