Viuatilifu vinawaweka wanawake na watoto katika hatari ya kupata saratani

*Mtaalam aeleza vinavyosababisha mtindio wa ubongo kwa watoto Na Faraja Masinde, Gazetini Kundi la Wanawake na Watoto limetajwa kuwa hatarini zaidi kuathirika na matumizi ya viuatilifu ambavyo vimekuwa vikiingia nchini kutoka nje ya nchi huku vingine vikipitia njia zisizo rasmi kutokana na kushindwa kukidhi ubora. Hayo yamebainishwa Dar es Salaam leo Machi 6, 2024 na … Continue reading Viuatilifu vinawaweka wanawake na watoto katika hatari ya kupata saratani