TACAIDS Yakutanisha Wadau Kujadili vyanzo endelevu vya Mwitikio wa UKIMWI

Na Nadhifa Omary – TACAIDS Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania – TACAIDS kwa kushirikiana na wadau wamefanya Kikao cha Siku tatu jijini Arusha kwa lengo la kufanya mafunzo, kujadili na kuweka mikakati endelevu kwa ajili ya mwitikio wa UKIMWI nchini. Akizungumza katika Kikao hicho, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk. Jerome Kamwela amesema kuwa Tanzania imepiga … Continue reading TACAIDS Yakutanisha Wadau Kujadili vyanzo endelevu vya Mwitikio wa UKIMWI