JET, GIZ zawanoa waandishi wa habari kuhusu migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa ufadhili wa  Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) kwa niaba ya Serikali ya Ujerumani (BMZ) kimetoa mafunzo kwa waandishi wa habari 25 kuhusu migongano ya binadamu na wanyama pori(HWC). Mafunzo hayo ya siku mbili Februari 22 na 23, 2024 ni sehemu … Continue reading JET, GIZ zawanoa waandishi wa habari kuhusu migongano ya binadamu na wanyamapori