Juhudi za pamoja zinahitajika kudhibiti biashara haramu ya viumbe pori

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu zinaonyesha kuwa biashara haramu ya viumbe pori inashika nafasi ya nne katika kundi la biashara haramu duniani ikitangaliwa na ile ya dawa za kulevya, Usafirishaji wa bidhaa bandia na Usafirishaji haramu wa binadamu. Hii ni sawa na kusema kwamba biashara haramu haiathiri tu Tanzania bali ni Dunia nzima, huku ikiwa … Continue reading Juhudi za pamoja zinahitajika kudhibiti biashara haramu ya viumbe pori