OSHA yaeleza jinsi TEHAMA inavyorahisisha usimamizi wa usalama na afya
Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeeleza kuwa matumizi ya mifumo ya TEHEMA umeiwezesha Taasisi hiyo kupata taarifa muhimu kuhusiana na mtawanyiko wa shughuli za kiuchumi nchini na hivyo kuweza kuandaa mipango madhubuti ya kulinda nguvukazi inayotumika katika shughuli husika dhidi ya vihatarishi vya magonjwa na ajali mahali … Continue reading OSHA yaeleza jinsi TEHAMA inavyorahisisha usimamizi wa usalama na afya
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed