“Tunataka wasichana wafikie ndoto zao maishani”

Na Malima Lubasha, Gazetini SHIRIKA lisilo la kiserikali la Hope for Girls and Women in Tanzania la wilayani Serengeti mkoani Mara linahifadhi wasichana 171 katika nyumba salama ili kuwaepusha na ukeketaji katika maeneo ya Butiama na Mugumu. Aidha, mbali na kukimbia ukeketaji pia wapo waliokimbia ndoa za utotoni, ubakaji, vipigo na mazingira hatarishi. Mkurugenzi wa … Continue reading “Tunataka wasichana wafikie ndoto zao maishani”