Tanzania yapunguza vifo vya mama wajawazito mara tano zaidi ya mwaka 2016

*Nikutoka 556 mwaka 2016 hadi 104 mwaka jana Na Patricia Kimelemeta, Gazetini SERIKALI imeweza kupunguza idadi ya vifo vya mama mjamzito kutoka 556 kwa Mwaka 2016 hadi kufikia 104 kwa mwaka 2022. Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete amesema hayo wakati akifungua kongamano la pili la kisayansi la afya ya mama na … Continue reading Tanzania yapunguza vifo vya mama wajawazito mara tano zaidi ya mwaka 2016