Waziri Jafo akutana na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa ya miradi ya Mazingira

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa yanayofadhili miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Jumatatu (Oktoba 9, 2023) katika Ofisi ndogo za Ofisi … Continue reading Waziri Jafo akutana na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa ya miradi ya Mazingira